Wadau wetu

Shirika linawadau mbalimbali ambao pia ni chanzo cha fedha kwa shirika. Wadau hawa ni: Shukurani za dhati kwa benki ya Barclays, Zanzibar Insurance Corporation na watu binafsi wanaojitoa kutusaidia kwa namna moja ama nyingine.