Safiri nasi!

Mara nyingi, tunapowaza likizo, watu wamekuwa na utamaduni wa kwenda nyumbani.

Pia unaweza kugawa muda wa likizo, na kutembelea vivutio (utalii) mbalimbali na maeneo ya urithi wa dunia ambao tunao kwenye nchi yetu ambao dunia nzima inatamani.

Kupitia mradi wa Kisedet ‘Tukutane Mbuyuni’ utaweza kutalii, lakini pia utaweza umechangia miradi ya Kisedet kwa kukodi gari letu na kulala kwenye makazi yetu Chigongwe.