Kuhusu Sisi

Tunaona fahari kufanya kazi na watoto. Kazi za kifamilia zinatufanya tukutane na watoto ambao wapo katika mazingira duni na wenye uhitaji wa makazi, kutunzwa, wanaohitaji ushauri na nasaha, kulindwa, afya, elimu na mafunzo ya ufundi/ujuzi pamoja na kuunganishwa na familia zao. Tumejidhatiti kuwahudumia/kuwasaidia watoto. Tunawasaidia watoto kuondokana na mazingira hatalishi. Kuwasaidia kutimiza ndoto zao pamoja na kuwatengenezea mahusiano mazuri baina … Continue reading Kuhusu Sisi