Uchafuzi wa mazingira na plastiki ni mojawapo ya maafa makubwa zaidi ya mazingira kwanzia mwaka 2000: tuone jinsi bara la Afrika linavyopambana nalo.
Habari
‘ANAJULIKANA KAMA MANKA’ mwenye hamu ya mafanikio
Manka ni mama ambaye ameshapitia katika mazingira magumu, ila hakukata tamaa. Baada ya kukutana na Shirika la KISEDET, aliweza kuinuka na kuanza maisha mapya pamoja na mtoto wake.
8×1000 ya Kanisa la Waldensia: taarifa za kazi
Mradi huu unahusisha ujenzi wa majengo miwili ya ufugaji wa kuku na uboreshaji wa mfumo wa umwagiliaji kwa kutumia maji kidogo (mfumo wa matone) katika kituo cha mapokezi kwa watoto wa mitaani cha Chigongwe Family.
UCS (Universal Civil Services): Davide, Agnese, Elisa, Simone wawasili Dodoma
Safari mpya ya SCU kuanza!
Nyumba ya wasichana katika makao ya muda mrefu Chigongwe
Kufuatia ushirikiano wenye matunda ambao umeendelea tangu 2015, tulifanya ombi lingine kwa Agata Smeralda na kwa mara nyingine tena wamekubali kutusaidia.
Utalii Wajibikaji
Kwa barua pepe hii tungependa kuwashukuru kwa safari yetu na pia kukupa maoni juu ya uzoefu wetu.
Kisa mkasa cha Peter
Hadithi ya PE ni moja wapo ya hadithi zenye mwisho wenye furaha kwa walengwa wa Kisedet na leo tumeamua kukuambia juu yake.
UCS (Universal Civil Service): Sofia, Giorgia, Chiara na Veronica wamerudi Italia
Mwezi mmoja uliopita, kikundi cha kwanza cha UCS wamerudi Italia. Walikaa Tanzania miezi 11. Hapa chini ni maoni yao.
Wakati ujao angavu
. Sasa anasoma kidato cha tatu na ingawa jamii inayomzunguka haiamini kile kilichomtokea, anaendelea na masomo yake akitumaini kesho angavu.