Home

Home>Michango

Michango yako kwenye kazi zetu itatusaidia kutambua mahitaji muhimu zaidi ya watoto wa mitaani tunaowahudumia. Kwa mchango wako mdogo unaweza kutusaidia kujenga darasa zima, miradi mingine tuliyonayo ya watoto na kusaidia kituo cha watoto cha shukurani kinachomilikiwa na Kisedet.

Euro 10 kwa mwezi.

Kwa mchango wa kila mwezi, utasaidia mtoto mmoja kupata mlo mzuri kwa siku

Euro 20 /mchango wa mara moja.

Kwa mchango mmoja wa euro 20 utakuwa umemsaidia mtoto wa mtaani/kijana kupata bima ya afya ya NHIF kwa mwaka mmoja au utakuwa umemsaidia mtoto wa mtaani kuhudhuria kituo cha Drop in kwa wiki mbili. Hivyo ataweza kuoga, kupata nguo safi, chakula bora na kupata msaada kutoka kwa wataalam wetu.

Euro 50/kwa pamoja.

Kwa mchango mmoja, utamsaidia mtoto wa mtaani au kijana kuweza kuhudhuria kituo chetu cha kutwa kwa mwezi mmoja. Kwa mazingira haya salama na kwa msaada wa maafisa ustawi wetu, mtoto/kijana huyu ataanza hatua za kuunganishwa na jamii/ndugu zake.

Euro 100/kwa pamoja.

Kwa kuchangia euro 100, mtoto/kijana wa mtaani atatunzwa kwenye makao yetu ya Chigongwe kwa muda wa miezi wili, kwa kuongezea, utakuwa umesaidia pia kuandikiswa kwenye shule za serikali na kukatiwa bima za afya.

Nani yuko tayari kuwasiliana na kuikubali miradi yetu? Kama utahitaji kuwa mfadhili au kusaidia gharama za elimu kwa watoto au kwa kwa kazi yoyote inayofanywa na KISEDET, unaweza kuwasiliana nasi kupitia:

info@kisedet.org au info@gruppotanzaniaets.it

au unaweza kuchangia moja kwa moja Tanzania kupitia Benki:

KISEDET-KIGWE SOCIAL ECONOMIC DEVELOPMENT AND TRAINING

BENKI :CRDB

TAWI LA CHAMWINO DODOMA

KWA WAGENI WALIO NJEE YA NCHI A/C 1952447960600 (kwa euro tu)

WALIO TANZANIA A/C 0150447960600

SWIFT CODE: CORUTZTZ

Lipa kwa simu, mitandao yote na benk kupitia namba 5590401. KISEDET.