Mauaji ya watoto wa mitaani

Hapa tuko tena, tukisimulia mauaji ya kikatili ya watoto wawili wa mitaani. Mara ya mwisho tulikuwa tumeanza kwa kutumia sentensi ile ile: “hapa tuko tena…”Tunapaswa kuandika sentensi hii kwa muda gani? Ni lini “watu wasiojulikana” au umati uliokasirika utaacha kuua watoto wa mitaani?Toma mwenye umri wa miaka 18, aliuawa jijini Dar es Salaam mwezi mmoja uliopita. Mwarabu mwenye umri wa …

Mtoto na ufadhili: kwanini tumeamua kusaidia jamii ya watoto na si mmoja mmoja

KISEDET walipendekeza kusaidia jamii kwa ujumla, na siyo mtoto mmoja mmoja. Yote hayo yalianza miaka kumi iliyopita wakati mradi wa watoto wa mitaani ulipoanza katika makao makuu ya Tanzania, Dodoma. Mchakato wa kutekeleza, mikutano, makao, na uboreshaji wa ufanisi na muda (kila mtoto anayeishi na kufanya kazi mitaani, ana historia na mpango wake binafsi) kwa hiyo, kupitia uzoefu tumejifunza kwamba …

Taarifa wa mradi Kizazi Kipya

Mradi ulianza mwaka 2017 mwezi wa tano na kufungwa mwaka 2020 mwezi wa tisa, ambapo mradi ulikuwa unashughulikia Watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mitaani. Yafuatayo ni mafanikio ya mradi huo. No Viashiria (Indicators) Mafanikio 1 Utambuzi wa Watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mtaani 1292 (799 me, 493ke) 2 Kuwapatia Watoto makao ya muda mfupi 231 (165 …