KISEDET inasaidia watoto kupata elimu kwa maisha bora.
Watoto OVC: Taifa la Kesho

KISEDET inasaidia watoto kupata elimu kwa maisha bora.
Lengo la mradi huu ni kuwakaribisha watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mitaani
Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.