INFO Cooperation Jumuia ya Italia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa 17 Oktoba 2022 Kwa hakika si mara ya kwanza kwa mada hii kuongelewa na wafanyakazi katika sekta mbalimbali hasa wale wanaoshughulikia kutafuta fedha katika ulimwengu wa wafadhili. Miongoni mwa wachangishaji wa fedha hizo zipo dhana tofauti za kifikra na kwa miaka mingi kumekuwa na mijadala kadhaa iliyopelekea tafakari kubwa …
Je, inawezekana kuchangia fedha katika ulimwengu wa ushirikiano bila kutumia picha za watoto?
