Uongozi wa Gruppo Tanzania Onlus ulikuja kutembelea Kisedet!

Kulingana na majanga ya COVID, wenzetu wa Gruppo Tanzania, walishindwa kuja kututembelea kwa miaka za hivi karibuni. Mwaka huu waliweza kufika kututembelea M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mauro del Pino, na makamu wake Giulia De Paolis na kukutana na viongozi pamoja na wafanyakazi wengine wa KISEDET, na walijadiliana pamoja mambo mbalimbali, hasa kuhusu miradi ambayo inafadhiliwa na Shirika dada la …