Mkutano mkuu wa wanachama wa Kisedet ulifanyika Alhamisi tarehe 27 Juni 2024.
Mkutano mkuu wa wanachama wa Kisedet

Mkutano mkuu wa wanachama wa Kisedet ulifanyika Alhamisi tarehe 27 Juni 2024.
Tangu Juni 18 nchini Kenya kuna maandamano yakifanywa dhidi ya serikali ya Rais Ruto, ambazo ni tofauti na ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za uchaguzi, na imeonekana kuwa mbali na wananchi, ya kibabe, kikoloi na inashutumiwa kwa ufisadi.
Wasaidie watoto wa Tanzania kwenda shule!
Tayari tumeshazunguumza kuhusu hili tatizo (makala: watumwa wapya 05 Januari 2023) lakini baada ya kumkaribisha A. siku mbili zilizopita, tumeona ni vyema kuizungumzia tena. A. ana miaka saba, mhudumu au tuseme mtumwa mdogo wa mwalimu wa shule ya msingi, ambaye sasa yuko chini ya ulinzi wa polisi. Walivyo choka kusikia mtoto akilia na kupiga makelele kila siku wakati anapigwa na …
Tarehe 7, Februari 2024 vijana wawili waliokuwa wakiishi na kufanya kazi mitaani waliondolewa katika Njiro Sober House, jijini Arusha.Vijana hao katika Sober House. Kutoka kushoto kwenda kulia: Hamisi, Rashidi, Kais, Mathayo na Stanley.
Manka ni mama ambaye ameshapitia katika mazingira magumu, ila hakukata tamaa. Baada ya kukutana na Shirika la KISEDET, aliweza kuinuka na kuanza maisha mapya pamoja na mtoto wake.
Safari mpya ya SCU kuanza!
Kufuatia ushirikiano wenye matunda ambao umeendelea tangu 2015, tulifanya ombi lingine kwa Agata Smeralda na kwa mara nyingine tena wamekubali kutusaidia.
“Mama njoo, tule pamoja, nimeshaweka vijiko viwili”. Ni njia ya kuelewa kama wanaweza kuniamini au la, kwa kukubali chakula chao ninawaambia ninawakubali kama walivyo.