Kopje ni vilima vidogo vya mawe ambavyo zinapatikana sana Dodoma, Tanzania. Mawe haya yanapendezesha sana mazingira. Muundo wake ni matokeo ya mchakato wa kijiolojia wa maelfu ya miaka. Kopje ni sehemu ya mifumo ya ikiolojia ya kipekee. Na pia, kutokana na maendeleo ya haraka ya mji wa Dodoma kama makao makuu ya nchi, tumeanza kushuhudia uharibifu wa kopje hizi kwa kasi kubwa. Hali …
Uharibifu wa Kopje za Dodoma: Rasilimali Asilia Iliyoko Hatarini
