Picha ya Romina Remigio
Changamoto mbalimbali za kimaisha na familia hupelekea watoto na vijana…
Author: Kisedet
Andiko la mradi la kukuza ujumuishi wa watoto wenye ulemavu kwenye jamii.
Utangulizi na maelezo ya tatizo. Watoto na watu wenye ulemavu ni moja wapo la kundi lililopo katika mazingira magumu na lililosahaulika Tanzania.hii ni kutokana na uhaba wa rasilimali zilizopo za kuwahudumia. Uwiano wa watoto wenye ulemavu katika masuala ya Elimu na Afya uko chini, ni 0.3% tu ya watoto wanaoandikishwa shuleni ni wenye ulemavu (TZ MoEVT 2013). Mbali ya uhaba …
Habari za asubuhi, Afrika!
Afrika inaendelea kuonekana kama bara ambalo limekumbwa na mvutano na vita. Lakini uhalisia ni tofauti na hivyo. Huu sio ukweli…..
Taarifa wa mradi Kizazi Kipya
Mradi ulianza mwaka 2017 mwezi wa tano na kufungwa mwaka 2020 mwezi wa tisa, ambapo mradi ulikuwa unashughulikia Watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mitaani. Yafuatayo ni mafanikio ya mradi huo. No Viashiria (Indicators) Mafanikio 1 Utambuzi wa Watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mtaani 1292 (799 me, 493ke) 2 Kuwapatia Watoto makao ya muda mfupi 231 (165 …
Mzee Nkopano
Nilifika Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 1996 na nilikutana na mtu huyu mwenye haiba kubwa ambaye alikuwa mtemi wa kijiji. Mapema tu niligundua kwamba hakuwa tu mkuu wa kijiji, bali pia kiongozi mwenye haiba ya kipekee katika jamii nzima. Sio vijana tu waliokuwa wakimheshimu. Nilichukuliwa chini ya uangalizi wake, na wakati mwingine najiuliza kama Silvia Romano (mtu wa kujitolea …
Utalii
KISEDET huandaa na kuratibu safari za kitalii kwa watalii wanaotaka kutembelea sehemu maarufu kwa kuzingatia heshima ya watu na mazingira, pamoja na kutembelea miradi yetu. Kupitia safari hizi, utapata fursa ya kujionea maajabu yaliyopo Tanzania (mbuga za wanyama, bahari ya hindi na mengine mengi) na kutembelea miradi mbalimbali ya KISEDET na taasisi/asasi nyingine na utakaribishwa vizuri kwa kipindi chako chote …
Makao Ya Kutwa
Kwa muda sasa, KISEDET imeweza kuwa na makao ya kupokelea watoto wa mitaani. (Drop in Center) inayowalenga watoto wa mitaani. Lengo la mradi huu ni kuwakaribisha na kuwapa nafasi ya kuoga na kufua nguo zao, kuwa na sehemu nzuri ya kupumzikia, kupata chakula na kuwarudisha katika mazingira halisi kupitia michezo nk Kituo kinafunguliwa kila siku kuanzia 8:00 asubuhi hadi 16:00 …
Watoto Taifa la kesho
OVC ni kifupisho cha Orphan & Vulnerable Children (watoto yatima na walio katika mazingira duni) ni mradi wenye lengo la kuwasaidia watoto wanaotoka katika familia masikini, yatima na wenye ulemavu kupata elimu bora kwa maisha yao ya baadae. KISEDET inawasaidia watoto kutoka shule ya msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vya kati na vyuo vikuu kwa kuwalipia karo , sare …
Vikundi vya ujasiliamali
Kuinua kiwango cha maisha kwa wazazi wenye kipato cha chini …