Vitabu vya Shajala ya mtoto Wimpy vimepigwa marufuku

Tanzania yapiga marufuku ‘Shajala ya mtoto Wimpy ‘ kwa kuwa ”haina maadili” Dar es Salaam. ‘Maadili kinzani’ ni lugha inayotumika kuelezea mfululizo wa vitabu vya watoto wa Marekani na vyombo vya habari, “Shajala ya mtoto Wimpy” ambayo serikali ya Tanzania, chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekataza kutumika nchini. Matumizi ya vitabu 16 kutoka mfululizo wa vitabu vya …

Uongozi wa Gruppo Tanzania Onlus ulikuja kutembelea Kisedet!

Kulingana na majanga ya COVID, wenzetu wa Gruppo Tanzania, walishindwa kuja kututembelea kwa miaka za hivi karibuni. Mwaka huu waliweza kufika kututembelea M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mauro del Pino, na makamu wake Giulia De Paolis na kukutana na viongozi pamoja na wafanyakazi wengine wa KISEDET, na walijadiliana pamoja mambo mbalimbali, hasa kuhusu miradi ambayo inafadhiliwa na Shirika dada la …