Home

“Mtu huweza kuendelea mwenyewe anapopata/jitosheleza na kuwa na hali nzuri yeye mwenyewe pamoja na familia. Haendelei kwa kupatiwa vitu hivyo na mtu mwingine.”

Julius Kambarage Nyerere kutoka kwenye kitabu chake cha Uhuru na Maendeleo, (freedom and Development 1973).

Saidia Kisedet
Saidia Kisedet
Saidia KisedetChangia
OVC (watoto yatima na walio katika mazingira duni)
OVC (watoto yatima na walio katika mazingira duni)
OVC (watoto yatima na walio katika mazingira duni)Fahamu
Utalii
Utalii
UtaliiTembelea

Miradi yetu

Watoto wanaoishi na kufanyakazi mitaani

Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.

Watoto wanaoishi na kufanyakazi mitaani

Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.

Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.

Shukurani makao ya muda mfupi

Makao ya muda mfupi Dodoma …

Shukurani makao ya muda mfupi

Makao ya muda mfupi Dodoma …

Makao ya muda mfupi Dodoma …

Mradi mpya Chigongwe

Makao ya watoto Chigongwe …

Mradi mpya Chigongwe

Makao ya watoto Chigongwe …

Makao ya watoto Chigongwe …

Vikundi vya ujasiliamali

Kuinua kiwango cha maisha kwa wazazi wenye kipato cha chini …

Vikundi vya ujasiliamali

Kuinua kiwango cha maisha kwa wazazi wenye kipato cha chini …

Kuinua kiwango cha maisha kwa wazazi wenye kipato cha chini …

69 Madarasa tuliyojenga
8 Nyumba za watumishi
1008 Watoto waliosomeshwa
9 Vijiji vilivyofikiwa

Tunajenga Dunia iliyo bora

Agalia jinsi tulivyowafikia mamia ya watoto na kuwasaidia

Mkutano mkuu wa wanachama wa Kisedet

Mkutano mkuu wa wanachama wa Kisedet ulifanyika Alhamisi tarehe 27 Juni 2024.

Soma Zaidi

Kizazi Z cha afrika

Tangu Juni 18 nchini Kenya kuna maandamano yakifanywa dhidi ya serikali ya Rais Ruto, ambazo ni tofauti na ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za uchaguzi, na imeonekana kuwa mbali na wananchi, ya kibabe, kikoloi  na inashutumiwa kwa ufisadi.

Soma Zaidi

Uunganisho na familia

Mara nyingi tunawahadisia kuhusu uunganishaji wa familia wenye mwisho wa furaha, lakini kwa bahati mbaya pia kuna wakati ambao familia bado ina matatizo mengi na baada ya muda, wazazi na watoto wanatengana tena katika hiyo familia.

Soma Zaidi